Lyrics

"Taarifa za kusikitisha simejiri mara baada ya Senegal kumkosa mshambuliaji wao Sadio Mane kutokana na majeraha ya goti aliyoyapata wiki iliyopita wakati Bayern Munich walipokuwa wakicheza na Werder Bremen.

Taarifa hizi zimejiri mara baada ya Mane kukamilisha upasuaji wa goti lililopata majeraha na kuonekana ya kuwa bado hatoweza kushiriki kombe la dunia.

Shirikisho la soka nchini Senegal lilitangaza ya kuwa Mane hatoshiriki mechi za mwanzo za kombe la dunia kutokana na majeraha lakini pia watamtibu kwa kutumia miti shamba jambo ambalo limeonekama kushindikana.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up