Lyrics

Baada ya kuanza vibaya na kufungwa bao 2-1 na Saudi Arabia hatimaye Argentina wamefanikiwa kufudhu hatua ya 16 baada ya kumaliza na alama 6 katika kundi C. Alama hizo Argentina wamefanikiwa kuzikusanya baada ya kumfunga Mexico pamoja na Poland.

Kwa upande wa Poland wao wamefanikiwa pia kufudhu hatua hiyo ya 16 bora baada ya kumaliza na alama 4 walizozikusanya kwa kumfunga Saudi Arabia pamoja na sare yao dhidi ya Mexico.

Katika kundi hilo nafasi ya tatu inashikiliwa na Mexico ambao wao walimfunga Saudi Arabia katika mchezo wao wa mwisho katika kundi hilo na sare waliipata katika mchezo wao dhidi ya Poland. Kuondoka katika mashindano hayo kwa Mexico pia kumesababisha na utofauti wa goli moja la kufungwa dhidi ya Poland na Mexico wote wakiwa na alama 4.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up