Lyrics

Hatimaye pumzi itaanza kuwashuka mashabiki wa timu ya Manchester United baada ya timu hiyo kudokeza kuwa familia ya Glazer kutaka kuiuza klabu hiyo ambayo wamekuwa wakiimiliki Kwa miaka 17 iliyopita.

Kwa ukubwa wa klabu hiyo inasemekana dau la Euro bilioni tano limetangazwa Kwa mnunuzi atakayekuwa na nia ya kununua timu hiyo. Mwaka 2005 Glazer waliinunua United Kwa jumla ya Euro million 780.Dau Hilo pia litahusisha maboresho katika klabu hiyo hususa ni katika maboresho ya uwanja wao wa nyumbani wa Old Trafford.

Mashabiki wa timu hiyo kwa muda Sasa wamekuwa wakipinga wamiliki wa klabu hiyo wakiwatuhumu kutumia fedha za klabu kulipa riba za madeni yao na kushindwa kufanya mipango endelevu ya maboresho ya Klabu hiyo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up