Lyrics

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Uingereza Harry Kane anatarajiwa kufanyiwa vipimo katika goti lake la kulia baada ya kupata majeraha katika mchezo ambao Uingereza waliucheza na Iran na kuibuka na ushindi wa mabao 6-2.

Katika mchezo huo Kane alilazimika kutoka nje katika dakika ya 76 ya mchezo na Callum Wilson kuchukua nafasi yake kutokana na maumivu.

Wakati kombe la dunia likiwa linaendelea inasemekana baada ya jeraha hilo mshambuliaji huyo ambaye pia anakipiga huko Tottenham hotspurs lazima apitie vipimo hivyo ili kujua kubwa wa tatizo ikiwa huu ni mchezo wa kwanza kwa Uingereza waliocheza mpaka sasa katika kundi B.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up