- 1:06
Harry kane kupitia vipimo vya goti
Qatar World Cup 2022 News- Mdundo Alt
Lyrics
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Uingereza Harry Kane anatarajiwa kufanyiwa vipimo katika goti lake la kulia baada ya kupata majeraha katika mchezo ambao Uingereza waliucheza na Iran na kuibuka na ushindi wa mabao 6-2.Katika mchezo huo Kane alilazimika kutoka nje katika dakika ya 76 ya mchezo na Callum Wilson kuchukua nafasi yake kutokana na maumivu.
Wakati kombe la dunia likiwa linaendelea inasemekana baada ya jeraha hilo mshambuliaji huyo ambaye pia anakipiga huko Tottenham hotspurs lazima apitie vipimo hivyo ili kujua kubwa wa tatizo ikiwa huu ni mchezo wa kwanza kwa Uingereza waliocheza mpaka sasa katika kundi B.
View more
Discover more artists
More songs by Qatar World Cup 2022 News- Mdundo Alt
- FIFA Sports Highlihts0:54
- Argentina Lineup World Cup2:38
- Argentina World Cup 20221:03
- Mitazamo mbalimbali kombe la Dunia kwa Ufaransa2:22
- Wanasoka watakaostafu World Cup3:15
- Shocking World Cup moments3:24
- Best EPL Players World Cup2:49
- Dider Deschamps - Benzema na France kuelekea Qatar2:07
- Qatar 2022 Group E review2:04
- Mbappe aweka rekodi mpya kombe la dunia Qatar2:30
- World Cup Football Prediction Netherlands vs Qatar WC 20221:00
- waingereza waliongara world cup1:44
- Japan Wins 3-1 against Croatia on Penalties1:47
- World Cup Football Prediction Wales vs England WC 20221:21
- World Cup Football Prediction Belgium vs Morocco1:01
- Qatar 2022 Group F review1:14
- Ukraine waja na ombi FIFA1:30
- Benzema athibitisha kuachana na Ufaransa1:21
- Ronaldo Aiwakia ManU1:17
- Bruno Slams Referee0:46
News
- 6 Fun Facts World Cup 2022 - Mdundo Alt
10 December
- Denmark Vs Tunisia Live - Mdundo Alt
22 November
- World Cup Matches Today - Mdundo Alt
22 November
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.