Lyrics

"Kukiwa bado kuna mzozo mkali kati ya Urusi na Ukraini hali imeendele kufika pabaya baada shirikisho la soka la nchini Ukraini kutaka shirikisho la soka duniani FIFA kuifungia nchi ya Iran kushiriki mashindano ya kombe la dunia yatakayofanyika Qatar kwa kile walichodai ni kuwa Iran imekiuka masharti ya Umoja wa mataifa na kuisaidia Urusi na ndege sizizo na rubani kuishambulia Ukraini katika miji tulivu.

Kutokana na tuhuma hizo Iran wamepinga vikali wao kutoa misaada ya ndege hizo kwa Urusi na Ukraini wameongeza kuwa shirikisho hilo la soka duniani yaani FIFA lingefuta ushiriki wa taifa hilo katika mashindano hayo ya kombe la dunia huko Qatar na wao kupewa nafasi hiyo ya ushiriki.

Katika ushiriki huo wa kombe la dunia Iran wako katika kundi moja na nchi kama vile Uingereza, pamoja Wale huku wao Ukraini wakiwa katika Playoff na ndio maana nchi hiyo imetoa ombi la kupata nafasi hiyo kwa kuwa wao wanastahili kupata nafasi hiyo waliyo nayo Iran.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up