Lyrics

"Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema, amethibitisha kuachana na timu yake ya Taifa masaa machache mara baada ya timu hiyo kushindwa kutetea ubingwa wao katika kombe la dunia nchini Qatar.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Karim aliandika ya kuwa ""Nimefanya juhudi na makosa ambayo yamepekekea niwe hapa nilipo leo na najivunia! Nimeandika historia na ya kwetu anafikia ukingoni"". Ujumbe huu aliuambatanisha pamoja na picha yake akiwa amevaa jezi ya Ufaransa siku ya Jumatatu ikiwa pia ni siku yake ya kuzaliwa.

Mchezaji huyo aliyetimiza miaka 35 siku ya jumatatu siku moja mara baada ya kombe la dunia kufikia kikomo alikuwa miongoni mwa wachezaji waliotakiwa kuwepo katika kikosi cha Ufaransa wakati wa mashindano ya kombe la dunia nchini Qatar lakini alishindwa kushiriki mara baada ya kupata majeraha kabla ya mechi za kombe la dunia kuanza kutimua vumbi.
View more

Discover more artists

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up