Lyrics

"Fainali za Super Cup zilimshuhudia Barcelona akibeba ubingwa dhidi ya Real Madrid mwezi Januari. Kwa mara nyingine Tena timu Hizi mbili zitakutana tena katika nusu fainali za Copa del Rey mchezo utakaochezwa katika viunga vya Santiago Bernabeu.

Kuelekea mchezo huu Pedri ataukosa mchezo huu baada ya majeraha katika misuli ya paja aliyoyapata katika mchezo was Barca dhidi ya Manchester United na katika upande wa mashambulizi Robert Lewandowski, Ansu Fati, Ousmane Dembele pia Bado ni majeruhi.

Licha ya Kuwa na mashambulizi ya ubaguzi mitandaoni lakini pia David Alaba atakuwa nje ya mchezo kutokana na majeraha, huku naye Rodrygo akiwa na shida ya misuli.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up