Lyrics

Hatimaye nao Brazil wamekata tiketi yao ya kushiriki robo fainali kombe la dunia baada ya kumfunga Korea Kaskazini mabao 4-1 mchezo uliochezwa katika uwanja wa 974.

Mabao yote manne ya Brazili yalipatikana katika kipindi cha kwanza cha mchezo kutoka kwa Vinicius Jr katika dakika ya 7, Neymar katika dakika ya 13 bao alilolifunga kwa penalti, Richarlison dakika ya 29 huku bao la 4 likifungwa na Lucas Paqueta katika dakika ya 36.

Kwa upande wa Korea wao bao la kufutia machozi walilipata katika kipindi cha pili kutoka kwa Super Sup Seung - Ho Paik katika dakika ya 76.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up