- 2:24
Nyimbo mpya Bongo 2023
Entertainment & Learning - Mdundo Podcast
Lyrics
"Mwaka wa Elfu mbili Ishirini na tatu umekuwa wa kufana mno kwa wasanii wa Bongo huku wakijikakamua kutoa kibao baada ya kingine. Japokuwa mwaka jana tulishuhudia wasanii wengi wakiachia albamu mpya za muziki kulinganisha na mwaka huu, wasanii hawa wa bongo bado wanatia jitihada kutupa vibao zaidi. Albumu za muziki ambazo zimeweza kutokea mwaka huu ni kama vile “Heir to the throne” yake Tommy Flavour, “Most People Want This” ya Navy Kenzo, “Flowers III” ya msanii Rayvanny na “Love Sentence” yake Lady Jay Dee miongoni mwa zinginezo. Katika sekta ya vibao, wanamuziki hawa wa bongo wametupa mchanganyiko wa nyimbo za mapenzi na nyimbo za kujiburudisha na kufurahia maisha. Sana sana tumeweza kushuhudia ushirikiano Kati yao wenyewe kwa wenyewe na ushirikiano mchache Kati Yao na wasanii wa nje kama vile Chley kutoka Afrika Kusini, Koffi Olomide na Innoss’ B kutoka Afrika Kati na Chike kutoka Afrika Magharibi. Sifa moja inayojidhihirisha mno Kati ya nyimbo hizi ni ladha ya Amapiano ambayo imekuwa ikitumika mara kwa mara. Inazofuata ni orodha ya nyimbo kumi mpya ambazo zimetamba mwaka huu.1.Enjoy kibao chake Jux anachomshirikisha msanii Diamond Platnumz
2.Sele kibao chake Mbosso akimshirikisha Chley
3.Nakuja wimbo wa Tommy flavour akimshirikisha Marioo
4.Nobody wimbo wake Darassa akimshirikisha Bien kutoka Kenya
View more
More songs by Entertainment & Learning - Mdundo Podcast
- Gen Z Slang Explained-Mdundo Podcast2:21
- Best Movies & Series of 2022-Mdundo Podcast3:11
- Boys II Men Kenya Concert-Mdundo Podcast1:40
- Mapenzi Ya Marioo Na Paula...Mdundo Podcast2:00
- Movies watchlist 20242:31
- Willy Paul To Marry Miss P-Mdundo Podcast1:45
- Nigerian Celebrity Gossip May 2023-Mdundo Podcast2:58
- The Rise and Fall of Colonel Mustafa-Mdundo Podcast3:32
- Salawa Abeni Alidu0:45
- Yellow Collar Jobs - Labour Day1:37
- Trending Sounds on TikTok - Mdundo Podcast2:56
- Tanasha Dona Apologises to Diamond1:06
- WCB Wasafi Signs New D Voice1:38
- Batile Alake0:40
- Zakayo (Christina Shusho)0:53
- White Collar Jobs - Labour Day1:45
- Onyeka Onwenu0:46
- Growing TikTok influencers Nigeria 20241:54
- Growing TikTok influencers 20241:58
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.