- 1:48
Sadio Mane ajiunga Bayern Munich
Football Predictions-Mdundo Podcast
Lyrics
Imeshakuwa rasmi kwa mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Senegal Sadio Mane kujiunga na Bayern Munich ya Ujerumani baada ya Liverpool kukubali dau ya Poundi milioni 35 kutoka kwa Bayern Munich ili kumpata mchezaji huyo.Sadio Mane (30) alisajiliwa na Liverpool tangu mwaka 2016 kwa dau la Poundi milioni 34, na usajili wake huo umeweza kuzaa matunda akiwa Liverpool kwa kubeba Vikombe kadhaa Kama vile kombe la mabingwa Ulaya, kombe la FA, ubingwa wa Ligi kuu Uingereza, pamoja na Kombe la karabao.
Sio tu kwa Liverpool lakini hata kwa timu yake ya Taifa ambayo Mane ameiwezesha Senegal kubeba ubingwa wa Africa Cup of Nations katika msimu wa mwaka 2021/2022 na kuwa kombe la kwanza la AFCON kwa Senegal kulibeba tangu kuanzishwa kwake.
View more
More songs by Football Predictions-Mdundo Podcast
Yanga Vs Simba Sc Jumamosi hii1:33
Football Analysis2:46
Man City vs Liverpool1:11
Manchester United Bio2:09
Real Madrid vs Man City0:54
Real Madrid vs Barcelona1:28
Real Madrid vs Real Sociedad1:00
Real Madrid vs Atletico Madrid0:53
Real Madrid vs Real Sociedad Predictions4:11
UEFA Nations Leauge Preictions 0906221:39
Barcelona, Messi Vs Sevilla Match predictions 2021 : manchester united, Crystal palace6:51
Chelsea vs Man United PL 2811211:10
Everton Football Club Bio1:58
Real Madrid Updates1:54
Lionel Messi's new club 20231:25
Real Madrid vs Liverpool - UCL #Tue_Predictions1:46
Real Madrid Vs Chelsea1:27
Cristiano Ronaldo, Lionel Messi1:07
Yanga vs Coastal Union Uchambuzi1:27
Kylian Mbappé 8 things you probably never knew about PSG star Kylian Mbappé4:40
News
Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.
Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.