Lyrics

Imeshakuwa rasmi kwa mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Senegal Sadio Mane kujiunga na Bayern Munich ya Ujerumani baada ya Liverpool kukubali dau ya Poundi milioni 35 kutoka kwa Bayern Munich ili kumpata mchezaji huyo.

Sadio Mane (30) alisajiliwa na Liverpool tangu mwaka 2016 kwa dau la Poundi milioni 34, na usajili wake huo umeweza kuzaa matunda akiwa Liverpool kwa kubeba Vikombe kadhaa Kama vile kombe la mabingwa Ulaya, kombe la FA, ubingwa wa Ligi kuu Uingereza, pamoja na Kombe la karabao.

Sio tu kwa Liverpool lakini hata kwa timu yake ya Taifa ambayo Mane ameiwezesha Senegal kubeba ubingwa wa Africa Cup of Nations katika msimu wa mwaka 2021/2022 na kuwa kombe la kwanza la AFCON kwa Senegal kulibeba tangu kuanzishwa kwake.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up