Lyrics

Baada ya kukosa kuwasajili washambuliaji wawili hatari zaidi katika Soka ambao ni Kylian Mbappe wa PSG aliyeongeza mkataba na timu hiyo pamoja na Eirling Haaland aliyeamua kukimbilia Manchester City, Sasa Real Madrid imesemekana kutupia jicho lake kwa mshambuliaji wa Tottenham Hotspurs Son Heung Min (29) katika dirisha hili la majira ya joto.

Real Madrid inasemekana kumtaka mshambuliaji huyo mwenye asili ya Korea Kusini katika msimu huu, mchezaji huyo akiwa ndiye kinara wa magoli kwa msimu uliopita katika Ligi kuu ya Uingereza akifungana na mchezaji wa Liverpool Mohamed Salah kwa kuweka kambani jumla ya mabao 23 na kushinda kiatu Cha dhahabu kwa msimu ulioisha wa 2021/22.

Suala lenye ukakasi linaweza kuja katika kumhamisha mashambuliaji huyo ni Je Antonio Conte Yuko tayari kuachana kinara huyo wa magoli ajiungea na miamba hiyo ya La Liga?, na huku katika msimu uliopita wa majira ya joto Son aliongeza mkataba utakaoisha mwaka 2025 huko Tottenham.
View more

Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.

Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.

I am a musician! - Log in or Sign up