- 2:43
Uchambuzi wa magazeti 11-01-2023
Habari Magazeti Tanzania Leo
Lyrics
Uhakiki wa magazeti ya Tanzania yasemavyo leo- 11/01/2023Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka vijana wa Chama Cha Mapinduzi kutumia fursa zilizopo nchini ili waweza kujikwamua na hali ngumu ya maisha. Kupitia matembezi ya UVCCM ya kuadhimisha kilele Cha miaka 59 ya Mapinduzi, vijana wametakiwa kuja na mawazo mapya na pia kujipanga ili waweza kujiwezesha na kutumia fursa zilizopo ikiwemo kilimo.(Jamvi la habari)
Mara baada ya kupanda kwa bei za vyakula nchini, serikali kupitia waziri wa wizara husika Hussein Bashe amesema ya kuwa suala hilo serikali inalitambua na chanzo Cha mfumuko huo wa bei ni pamoja na kupanda kwa gharama za usafiri na ifikapo mwezi Machi mwaka huu bei za vyakula zitapungua zaidi nchini. Hayo aliyasema wakati alipokuwa akizungumza na wahariri wa habari mjini Dodoma na kutaja bidhaa zilizopanda bei ikiwemo Unga, maharage pamoja na Michele (Mwananchi)
View more
Discover more artists
More songs by Habari Magazeti Tanzania Leo
- Mwananchi (CHADEMA) Freeman Mbowe kufungua mkutano ya chama2:48
- Uhakiki wa Magzeti Tanzania Leo 06-02-20234:13
- Majira Tanzania Yakuwa Kiuchumi2:48
- Mwanaspoti Simba Vs Mbeya City2:48
- Nipashe Mauaji Gisigisi2:48
- uchambuzi wa magazeti 15-01-20232:38
- Uchambuzi wa magazeti 12-01-20233:02
- Uchambuzi wa magazeti 10-01-20232:48
- Uhakiki wa magazeti 8-02-20234:09
- Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamejawa na Presha mara baada ya kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara kwa vyama pinzani na Rais Samia4:09
- Uhakiki wa magazeti 02-02-20234:05
- Uhakiki wa magazeti 02-02-20234:05
- Uhakiki wa magazeti 31-01-20233:48
- Uhakiki wa magazeti 31-01-20233:48
- Yasemavyo magazeti 13-01-20232:31
- Uhakiki wa magazeti 21-01-20232:51
- Uhakiki wa magazeti 29-01-20234:18
- Uhakiki wa magazeti 30-01-20233:36
- Uhakiki wa magazeti 30-01-20233:36
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.