Lyrics

Uchambuzi wa magazeti ya Tanzania kama yasemavyo leo tarahe 20-01-2023

Mtoto wa mwaka mmoja amekutwa akinyonya ziwa la mama yake ambaye alikuwa amefariki baada ya kufanyiwa mauaji ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali shingoni. Kifo hicho kilitokea katika kitongoji cha Gisigisi, kijiji cha Saydoda. Chanzo cha kifo kimetajwa kuwa ni wivu wa mapenzi ambapo marehemu Sabina Barma (28) alikutwa akiwa amefungwa mikono huku mume wa marehemu akiwa ndiye mtuhumiwa namba moja wa mauaji hayo. (Nipashe)

Serikali ya India imepongeza ukuaji wa uchumu nchini Tanzania pamoja na uongozi wa Rais Samia na jitihada zake. Ujumbe huo umewasilishwa na Spika wa Bunge la India OM Birla wakati alipofanya mazungumzo na Waziri mkuu wa Tanzania ambaye alimuwakilisha Rais Samia aliyepo nje ya nchi. Katika ujumbe huo Waziri Mkuu Majaliwa aliwahakikishia wawekezaji kutoka India mazingira mazuri yameandaliwa nchini kwa ajIli ya uwekezaji. (Majira)
View more

Discover more artists

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up