Anjella Atangaza Ujio Wake Mpya

[Picha: Instagram]

Mwandishi-Charles Maganga 

DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3

Kama ulikuwa unasubiri ujio mpya wa msanii Anjella ambaye awali alikuwa chini ya Harmonize basi habari njema ni kwamba msanii huyo ametangaza kwamba anaachia wimbo hivu karibuni. 

Anjella alitangaza kuondoka kwenye lebo ya Konde Music Worldwide mwishoni mwa mwaka na tangu kuondoka kwake amekuwa yuko kimya bila kuachia ngoma yoyote. 

Top Artists: Lucky Dube, JUX, Christina Shusho, Marioo, Ukhty Dyda, Victony, Ayra Starr, Best Naso, Jay Melody

Mara ya mwisho kwa Anjella kuachia wimbo ilikuwa ji miezi takriban 11 iliyopita alipoachia “Kioo” akiwa na Harmonize, ngoma ambayo ilipokelewa vyema na mashabiki 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Anjella aliandika “Rising from the Ashe, she’s back and better than ever” akimanisha kuwa “Ametoka mavumbini anarudi akiwa vizuri zaidi”. Anjella aliongeza kwa kuandika New Music. 

Kufikia sasa bado hajadokeza jina la wimbo huo, tayari atakayoachia au iwapo atafanya mwenyewe au kushirikisha mtu. 

Quick Links

Daily Mixes

DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST TZ MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST BEST SONGS 2022 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST MUSIC ALBUMS/EP MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF 2023 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF THE WEEK MP3

DOWNLOAD LATEST AFRICAN MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST GHANA MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST KENYA MUSIC MP3

DOWNLOAD MP3 NAIJA MUSIC LATEST

FREE Hot DJ Mixes to Download this Week on Mdundo

Leave your comment