Lyrics

Uhakiki wa magazeti ya Tanzania yasemavyo leo- 10/01/2023

Mara baada ya Serikali ya Tanzania kutangaza Elimu bure, wanafunzi wamezidi kufurika katika Shule mbalimbali mara baada ya shule hizo kufunguliwa Januari 9. Serikali imejizatiti na ongezeko Hilo la wanafunzi na kutarajiwa kuanza ujenzi wa madarasa mapya 8000 yatakayopunguza Kero ya msongamano wa wanafunzi huku baadhi ya wazazi wakikubali kuchangia fedha kwa ajili ya chakula Cha watoto wakiwa shuleni. (Mwananchi)

Mara baada ya shule kufunguliwa siku ya tarehe 9/1/2023 baadhi ya wazazi wamelalamikia suala la watoto wao kurudishwa nyumbani mara baada ya kukosa fedha kwa ajili ya michango mbalimbali ya shule ikiwemo chakula. Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Adolph Mkenda ameingilia kati suala Hilo na kutoa kauli ya kuzuia tabia hiyo na kuwataka watoto wote wafike shuleni kwa ajili ya kuendelea na masomo. (Nipashe)
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up