• Stream Habari Magazeti Tanzania Leo - Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamejawa na Presha mara baada ya kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara kwa vyama pinzani na Rais Samia

    Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamejawa na Presha mara baada ya kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara kwa vyama pinzani na Rais Samia

    Habari Magazeti Tanzania Leo

    4:09

Lyrics

Uhakiki wa vichwa vya habari vya magazeti ya Tanzania Leo 08-02-2023.

Kamati ya Bunge ya Utawala na serikali za mitaa imetoa dosari kwenye mfumo wa usajili wa ajira kwa wasomi wakati wa uwasilishwaji wa taarifa yake uliofanywa na Abdallah Chaurembo Mwenyekiti wa kamati hiyo. Dosari mojawapo iliyotajwa ni pamoja na cheti Cha JKT. Baada ya taarifa hiyo kambi pinzani zimetoa maoni zikitaka mitaala ya elimu kutoa elimu juu ya uwekezaji kwa wanafunzi ili kuacha kutegemea uwekezaji wa nje unaopelea ukosefu wa ajira nchini. ( Mwananchi)


View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up