- 1:16
TFF waingilia sakata la Feisal na Yanga
Football Predictions-Mdundo Podcast
Lyrics
Mara baada ya sakata lake la kutaka kuondoka Yanga, sasa Tanzania Football Federation (TFF) imeingikia kati suala hilo na kuandika barua kwa Feisal Salum Abdallah yenye lengo la kufanya mazungumzo na mchezaji huyo kuhusiana na sakata hilo.Siku chache zilizopita kiungo huyo alibadilisha hali ya hewa mara baada ya taarifa za kutaka kuondoka Yanga kusambaa na Azam FC wakiwa wanahusishwa na taarifa za kutaka kumsaji mchezaji huyo katika dirisha dogo la usajili lililoanza Januari Mosi licha ya Azam kukana kuhusika.
Katika barua hiyo TFF wamemtaka Feisal kuwasili makao makuu ya shirikisho hilo la mpira wa miguu siku ya Jumatano ya tarehe 4 mwezi huu wa Januari yeye mwenyewe akifuatana na mwanasheria wake.
View more
More songs by Football Predictions-Mdundo Podcast
- Real Madrid vs Barcelona1:28
- Real Madrid vs Atletico Madrid0:53
- Yanga Vs Simba Sc Jumamosi hii1:33
- Cristiano Ronaldo, Lionel Messi1:07
- Barcelona vs Real Madrid0:50
- Football Analysis2:46
- Real Madrid vs Real Sociedad Predictions4:11
- Real Madrid vs Real Sociedad1:00
- UEFA Nations Leauge Preictions 0906221:39
- Man City vs Liverpool1:11
- Real Madrid Updates1:54
- Everton Football Club Bio1:58
- Mancity Vs. Arsenal Highlights FREE Mp3 Download0:43
- Kylian Mbappé 8 things you probably never knew about PSG star Kylian Mbappé4:40
- Real Madrid vs Barcelona - LL 2003221:12
- Tottenham Hotspur Football Club Bio2:37
- Liverpool vs Real Madrid0:50
- Orlando Pirates Vs Simba-Jumapili1:32
- Chelsea Vs, Brentford Commentary - FREE Mp3 Download0:35
- Chelsea yamsaka Bellingham0:37
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.