Lyrics

Kombe la Dunia limeshamalizika na baadhi ya wachezaji inaweza kuwa ndiyo safari Yao katika kuchezea vilabu vikubwa duniani.

Liverpool bila kupoteza muda tayari wameshaingia makubaliano ya kumsajili Gody Gapko kwa kitita kinachokadiriwa kuwa zaidi ya Euro milioni 37 akitokea klabu ya PSV Eindhoven ya nchini Uholanzi.

Gakpo mwenye miaka 23 siku chache alihusishwa na taarifa za kujiunga na mashetani wekundu Manchester United licha ya taarifa hizo huzimika mara baada ya Majogoo wa London kuiwahi nafasi hiyo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up