Lyrics

Utu Alikiba Uchambuzi

Mwezi wa 10 mwaka 2021 Ali Kiba aliachia albamu yake ya tatu ambayo aliipa jina la Only One King huku ngoma ya Utu ikiwa ni ngoma namba 14 kwenye albamu hiyo imetayarishwa na Yogo Beats.

Tangu kuachiwa kwake Utu imekuwa ni ngoma pendwa baina ya mashabiki ambapo kwenye tuzo za Tanzania Music Awards mwaka 2022 ngoma hiyo ilitajwa kuwania kipengele cha mtunzi bora wa mwaka. Aidha video ya Utu pia ni moja kati ya video zilizotazamwa zaidi kwa mwaka wa 2022 kwenye mtandao wa YouTube.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up