• Stream Ali Kiba - On Fire - Alikiba Review-Mdundo Podcast

    On Fire - Alikiba Review-Mdundo Podcast

    Ali Kiba

    0:49

Lyrics

Mwanamziki wa Kings Music Alikiba ameachia kazi mpya ‘On Fire”. Hii ni baada ya miezi mitatu ya ukimya.

“On Fire” ni ngoma kali ya Bongo Fleva ambayo ndani yake King Kiba anatoa sifa kedekede kwa mpenzi wake ambapo anamsifia mpenzi wake kutokana na urembo alionao. Kama kawaida, Ali Kiba ametumia sauti yake mujarab kupamba mkwaju huu.
Vile vile uhalisia wa nyimbo huu unaleta mdundo wa Kizomba mbao kwa sasa unakubalika sana na masahabiki wa mziki wa bongo.
“On Fire” inakuja siku chache kuelekea kwenye tamasha kubwa la kuitwa “Reloaded” ambapo Ali Kiba atatumbuiza kwenye jukwaa moja na msanii kutokea huko nchini Nigeria wa kuitwa Ayra Starr pale Superdome, Masaki.
View more

“On Fire” ni ngoma ya tatu kutoka kwa Ali Kiba kwa mwaka huu baada ya hapo awali kuachia “Mahaba” ambayo imeshakusanya views takriban Milioni 9 kwenye mtandao wa Youtube na “Lalala” ambayo ameshirikiana na wasanii wa Kings Music.