Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!

Lyrics
Alikiba - MahabaMkurungenzi Mkuu wa Lebo ya Kings Music Alikiba ameachia kazi mpya kwa jina ‘Mahaba’. Mwimbaji huyo amewafurahisha mashabiki kwa kkazi hii waliokuwa wamesubiria kazi yake ya kwanza mwaka huu 2023.
View more
More songs by Ali Kiba
Similar songs

Mshamba2:44
Mwizi2:43
SAUTI YANGU3:46
Mvua Ya Baraka3:03
Sikomi3:53
Hata kwetu wapo4:15
Nakupenda3:14
Playlists
-
2023 DJ Mixes
111 songs
-
Afro Fresh Mix
85 songs
-
King Saha | Exclusive
14 songs
-
Barnaba - Love Sounds Different
16 songs
-
Just HITS
21 songs
Today's free download
New song, every day

Ukimuona3:54
Hisia2:39
God Is There3:43
Bazaar hangala meenda4:45
Zuchu Ft Harmonize Marioo Mboss YANGA MPYA Mix2:26
WATAJUA3:22
Loynizer Asante2:55
SUKARI1:43
Kontawa Itakuaje3:22
Je?3:15
Trending Bongo Flava
Featured songs
Mdundo.co is home to alikiba mahaba audio get to know about alikiba wife and download free alikiba songs download mdundo
Lyrics
Siku hizi hakuna mahaba
Yeah, mahaba
Mapenzi ya mkataba
Mpaka kufa, yamekwisha
Ni neema ukiwa unahema
Mapenzi yanachosha, yanafuja raha
Nafsi yangu inasema
Bora nimpende tu alionizaa
Uchungu wa kulia daily
Mapenzi yalinifanya nisile
Sina kumbukumbu ile
Kwamba ulinikosha, no!
Uchungu wa kulia daily
Mapenzi yalinifanya nisile
Sina kumbukumbu ile
Yakwamba ulinikosha, no!
Mwenzako mi' nilikufa, nikazikwa, nikaoza
Mapenzi yalinitesa, yalinitupa, nimefufuka, yeah
Mi' nilikufa, nikazikwa, nikaoza
Mapenzi yalinitesa, nimefufuka, yeah
S'kiza kwanza we dada
We dada
Mi' sio mgeni alishanikaba
Mapenzi yalinikausha
Natamani kuwa single
Ila nna-upwilu unakaba koo
Mabinti wenye vifundo
Hao ndio mi' wananitoa roho
Na siri juu ya jambo lile
Ni kama chakula lazima nile
Mi' mbovu sana wa jambo lile
Na ufundi wa kutosha, ooh
Na siri yake tuu jambo lile
Ni kama chakula lazima nile
Mi' mbovu sana wa jambo lile
Na ufundi wa kutosha, ooh
Mwenzako mi' nilikufa, nikazikwa, nikaoza
Mapenzi yalinitesa, yalinitupa, nimefufuka, yeah
Mi' nilikufa, nikazikwa, nikaoza
Mapenzi yalinitesa, nimefufuka, yeah


