Lyrics

Nyota nguli wa muziki na mmiliki wa lebo ya Kings Music, Ali kiba kwa mara nyingine ametikisa kiwanda cha Bongo Fleva Tanzania baada ya kuachia ngoma yake mpya ambayo imekonga hisia za mashabiki inayoitwa Tile

Kibao hicho cha Tile kimeambatana na wimbo mwingine wa ASALI ambazo ni nyimbo mbili alizozitoa kwa pamoja zote zikiwa na ujumbe wa mapenzi. Ujio huu mpya wa mshindi huyo wa tuzo za AFRIMA umekuwa baraka kwa mashabiki wake kutokana na ukimya wa nyota huyo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up