Lyrics

Karim Mostafa Benzema ni mwanasoka katika timu ya Real Madrid ya Uhispania pamoja na Timu ya Taifa ya Ufaransa katika nafasi ya mashambulizi. Benzema alizaliwa mnano mwaka 1987 huko Lyon Ufaransa na wazazi wenye asili ya Algeria ambapo baba yake aliitwa Hafid Benzema huku mama yake akiitwa Wahida Djebbara. Yafuatayo ni mambo saba pengine unaweza usiyafahamu kuhusiana na Benzema.

Imemchukua takribani miaka kumi na nne kuweza kushinda tuzo ya kwanza ya Ballon D’OR
Tangu Benzema ajiunge na Real Madrid mnano mwaka 2009 ni usiku wa Octoba 17 2022 ndio siku ambayo Benzema ameweza kushinda tuzo ya kwanza ya Ballon D’or huku ndani ya miaka hiyo 14 Lionel Messi Pamoja na Cristiano Ronaldo wanajumla ya Ballon D’or kumi na mbili.

View more

Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.

Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.

I am a musician! - Log in or Sign up