- 3:26
Karim Benzema Mambo Saba usiyoyafahamu Kumhusu
Football Predictions-Mdundo Podcast
Lyrics
Karim Mostafa Benzema ni mwanasoka katika timu ya Real Madrid ya Uhispania pamoja na Timu ya Taifa ya Ufaransa katika nafasi ya mashambulizi. Benzema alizaliwa mnano mwaka 1987 huko Lyon Ufaransa na wazazi wenye asili ya Algeria ambapo baba yake aliitwa Hafid Benzema huku mama yake akiitwa Wahida Djebbara. Yafuatayo ni mambo saba pengine unaweza usiyafahamu kuhusiana na Benzema.Imemchukua takribani miaka kumi na nne kuweza kushinda tuzo ya kwanza ya Ballon D’OR
Tangu Benzema ajiunge na Real Madrid mnano mwaka 2009 ni usiku wa Octoba 17 2022 ndio siku ambayo Benzema ameweza kushinda tuzo ya kwanza ya Ballon D’or huku ndani ya miaka hiyo 14 Lionel Messi Pamoja na Cristiano Ronaldo wanajumla ya Ballon D’or kumi na mbili.
View more
Discover more artists
More songs by Football Predictions-Mdundo Podcast
- Yanga Vs Simba Sc Jumamosi hii1:33
- Real Madrid vs Barcelona1:28
- Cristiano Ronaldo, Lionel Messi1:07
- Real Madrid vs Atletico Madrid0:53
- Football Analysis2:46
- Kylian Mbappé 8 things you probably never knew about PSG star Kylian Mbappé4:40
- Real Madrid vs Real Sociedad Predictions4:11
- Real Madrid vs Real Sociedad1:00
- Man City vs Liverpool1:11
- Man United vs Man City1:45
- UEFA Nations Leauge Preictions 0906221:39
- Yanga vs Coastal Union Uchambuzi1:27
- Everton Football Club Bio1:58
- Real Madrid Updates1:54
- Liverpool vs Real Madrid0:50
- Manchester United Bio2:22
- Tottenham Hotspur Football Club Bio2:37
- Mancity Vs. Arsenal Highlights FREE Mp3 Download0:43
- Real Madrid vs Barcelona - LL 2003221:12
- Real Madrid vs Man City0:54
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.