- 2:14
PSG yakana kuzungumza na Zidane
Football Predictions - Mdundo Alt
Lyrics
Kitendo Cha Mauricio Pochettino kuondoka Paris Saint Germain mapema mwaka huu baada ya kuchukua ubingwa wa Ligue 1, mijadala mingi imezuka kwa mashabiki wa soka ambao wanahisi kuwa viatu vya kocha huyo wa Kiajentina vitavaliwa na mfaransa Zinedine Zidane katika kuinoa klabu huyo ya hukuhuko Ufaransa.Tetesi hizo zimevuma kutokana na hali ya kuwa mpaka Sasa Zidane tangu amalizane na Real Madrid ya Hispania hajawahi kuifundisha timu nyingine yoyote na kutokana na utaalamu wake Kama kocha na kwa ukubwa la klabu ya soka kama PSG ndio uvumi huo wa yeye kwenda kuifundisha PSG ukasambaa.
Cha ajabu Rais wa Klabu hiyo ya PSG Nasser Al-Khelaifi wakati na mahojiano yake na chombo Cha habari Cha Le Parisien amekana klabu hiyo kuingia makubaliano yoyote na Zinedine kwa kusema, " Nitakwambia kitu kimoja, hatukuwahi kuongea nae moja kwa moja au kwa njia nyingine. Vilabu vingi vya soka vinaonesha Nia ya kumtaka hata pia timu za Taifa lakini hatujawai kuliongelea hili suala na yeye, Sisi tumemchagua kocha ambaye ni Bora Sana kwa kile tunachokihitaji kukiweka katika nafasi " Al-Khelaifi aliongezea.
View more
Discover more artists
More songs by Football Predictions - Mdundo Alt
Manchester United Bio2:09
Man City vs Liverpool1:11
Yanga Vs Simba Sc Jumamosi hii1:33
Barcelona, Messi Vs Sevilla Match predictions 2021 : manchester united, Crystal palace6:51
Football Analysis2:46
Real Madrid vs Liverpool - UCL #Tue_Predictions1:46
Chelsea vs Man United PL 2811211:10
Real Madrid Updates1:54
Real Madrid vs Real Sociedad Predictions4:11
Man City vs Dortmund - UCL #Tue_Predictions #mdundo1:12
ManU News - Worst Defeat1:28
Pressure on Gor Mahia As KCB Closes In1:27
Simba waangukia Pua, Yanga yang'ara2:24
Real Madrid vs Barcelona1:28
Cristiano Ronaldo, Lionel Messi1:07
Real Madrid Vs Chelsea1:27
Manchester City's Key Player Suffers Injury Ahead Of Clash With Arsenal1:21
Chelsea Vs Brentford Football Prediction Premier League Saturday3:55
Everton Football Club Bio1:58
Cristiano Ronaldo Banned From Making AlNassr Debut1:15
News
Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.
Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.