Lyrics

Akiwa Kama mfungaji namba 3 katika Ligi ya Ujerumani kwa kuweka kambani jumla ya mabao 22 katika mechi 24 alizocheza huko Bundesliga Sasa Erling Haaland mshambuliaji aliyekua akiichezea Borussia Dortmund ameamua kukata shauri na kuhamia huko EPL akiwa na timu ya Manchester City ya Uingereza.
Zituatazo ni sababu 5 zilizomfanya Haaland kuondoka Bundesliga na kujiunga EPL alizozitoa wakati wa mahojianao akiwa katika viunga vya Etihad stadium.

Historia ya kusakata kabumbu katika familia yake.
Akiwa ametokea katika familia ya soka baada ya Alfie Haaland ambaye ni baba yake mzazi kusakata kabumbu huko miaka ya nyuma katika klabu hiyo ya Manchester City, Erling Haaland amaamua kurudi Tena Manchester City kutokana na sababu ya baba yake kuwa ni moja ya wachezaji wa klabu hiyo hivyo na yeye angependa kuwa moja ya wanafamilia watakaopita katika klabu hiyo ya soka ya huko Uingereza.
View more

Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.

Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.

I am a musician! - Log in or Sign up