Lyrics

"Ikiwa Sasa ni mzunguko wa 31 Kati ya ile 34 huko Bundesliga Sasa Bayern Munich wanaenda kuvaana na Borussia Dortmund Jumamosi hii katika uwanja wa Allianz arena baada ya kukutana Mara ya mwisho katika uwanja wa Signal Iduna Park katika mzunguko wa 14 wa Ligi hiyo.

Bayern wakiwa wanawakaribisha Dortmund pia wao ndio vinara wa Ligi hiyo wakifuatiwa na vijana hao wa Marco Rose, wanaotofautiana kwa alama 9 mpaka Sasa,na kuweka uwezekano wa Bayern kuchukua ushindi wa Ligi ya Ujerumani kwa Mara ya kumi mfululizo.

Kwa Mara ya 9 mfululizo Bayern wamakuwa mabingwa wa Ligi ya Bundesliga, na Sasa pia wanasogelea ubingwa Tena na hii ndiyo itakuwa mara yao ya 10 mfululizo wakiongozwa na mshambuliaji aliyeshinda tuzo ya mchezaji Bora FIFA kwa msimu wa mwaka 2020-2021 Robert Lewandowski.
View more

Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.

Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.

I am a musician! - Log in or Sign up