Lyrics

"Manchester United imemteua Erik Ten Hag kuwa bosi mpya wa kudumu wa Red devils ambaye amekuwa meneja wa tano wa kudumu wa Manchester United tangu 2013 Sir Alex Ferguson alipostaafu klabuni hapo.

Erik Ten Hag mwenye umri wa miaka 52 atarithi nafasi hiyo kutoka kwa Ralf Rangnick ambaye aliitumikia klabu hiyo kwa takriban miezi 5 na sasa Erik Ten Hag atakuwa akiinoa United kwa mkataba wa kudumu wa miaka 3 ambao utamalizika Juni 2025.

Wakati huu ambapo Hag anakwenda kuinoa United, anakabiliwa na shinikizo kubwa kutoka kila kona ya Old Trafford kuhusu kuifanyia marekebisho timu hiyo na hadi sasa anachukuliwa kuwa ni Messiah wa Manchester United na mashabiki wa United ambao wanaamini kwamba Erik ten Hag anaweza kurejesha ari yao ya ushindi na timu kurejea kileleni.
View more

Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.

Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.

I am a musician! - Log in or Sign up