Lyrics

"Katika kuelekea mzunguko wa pili wa robo fainali za mabingwa wa Ulaya Real Madrid wanakwenda kuwakaribisha Chelsea katika uwanja wao wa nyumbani wa Santiago Bernabeu Jumanne hii.

Chelsea katika mzunguko wa kwanza waliambulia kichapo Cha bao 3-1 dhidi ya Los Blanco katika uwanja wao wa nyumbani wa Stanford bridge mnamo tarehe 16 ya mwezi wa 4.

Kareem Benzema ikiwa ndiyo mechi yake ya pili tangu atoke kuwa majeruhi aliinua Madrid kwa hat-trick na kuwaweka katika nafasi nzuri ya kufuzu nusu fainali huku Chelsea wao wakipata kifuta machozi cha bao moja lililofungwa na Kai Havertz.
View more

Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.

Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.

I am a musician! - Log in or Sign up