Lyrics

Aah naona bora afadhali nioe mke basi muwe wawili
Nimepungua yangu imani, wananicheka ona majirani
Penzi nilo kumwangia, utamu wa ndoa unaniishia (aaaah aah)
Wazazi wanaulizia, mpaka lini watasubiria eeeeeh
Nayaheshimu yako maamuzi, mara mbili fikiria
View more
Get Mdundo android app

Leave your comment