Lyrics

Shika mkono ufikishe mpaka kwa keja Kuta vitu mpaka jirani akateta Wape wape wape wape…

[HOOK] Hakuna bleki buda na kata maji mpaka che Hapa msupa jo hakuna smama ni kubend Na ma waiter buda wamesleki sana jo kize Wape wape wape wape… Basi mbeibe Nipe saba ukiinama saba ukiinama Saba ukiinama saba ukiinama Nipe saba ukiinama saba ukiinama Saba ukiinama, saba ukiinama

Nikimdigi fiti nacheki jo amebeba Niko macho kwake niko ma handas ketepa Chapanisha kuni ibaki mebeide amesepa Ni madiva tu n aka we dimanga pereka Hakuna kushare jo fisi akika ngorea Top layer alaa a man a gyalis sorea On air balance na ureverse orea Leo lazma katambe, orea orea
View more
Get Mdundo android app

Leave your comment