Rayvanny Adokeza Wimbo Mpya “MWAMBIENI”

[Image Source: Instagram]

Writer: Charles Maganga 

Get the Latest Football Predictions on Mdundo.com

Fundi wa muziki kutoka Tanzania Rayvanny hatimaye ametangaza kwamba yuko mbioni kuachia ngoma mpya ya kuitwa Mwambieni.
Rayvanny ambaye pia ni mshindi wa tuzo za BET kwa mwaka 2017 ametoa taarifa hiyo hivi karibuni ikiwa ni siku kadhaa tangu aachie wimbo wake wa Forever ambao unafanya vizuri sana kwa sasa.

 Download the Best Kenyan Hits Mixes On Mdundo

Wimbo wa “Mwambieni” unatarajiwa kuwepo kwenye EP ya Rayvanny ya kuitwa “Flowers III” ambayo imeshirikisha wasanii tofauti tofauti kama Jay Melody, Mac Voice, Phina na Bahati kutokea huko nchini Kenya.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram Rayvanny alidokeza ujio wa wimbo huo kwa kuchapisha kipande kidogo cha kionjo na kuwauliza mashabiki zake kuwa wimbo huo utoke lini.
Flowers 3 inatarajiwa kuwa EP ya tano kutoka kwa Rayvanny, EP nyingine kutoka kwa msanii huyo ni Flowers 1, Flowers 2, Unplugged Session na New Chui. 

Daily Mixes
DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3
DOWNLOAD LATEST TZ MUSIC MP3
DOWNLOAD LATEST BEST SONGS 2022 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST MUSIC ALBUMS/EP MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF 2023 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF THE WEEK MP3

DOWNLOAD LATEST AFRICAN MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST GHANA MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST KENYA MUSIC MP3

DOWNLOAD MP3 NAIJA MUSIC LATEST

FREE Hot DJ Mixes to Download this Week on Mdundo

Leave your comment