SHINIZER TZ ANARUDI NA "MAPENZI USHENZI" - INATOKA 01/08/2026

SHINIZER TZ, msanii chipukizi kutoka TARIME Mkoani MARA anatangaza rasmi kuja kwa wimbo wake mpya unaoitwa "MAPENZI USHENZI".

Wimbo huu mpya unazungumzia maumivu ya mapenzi ya kizhenzi. SHINIZER TZ anaimba kwa maudhi akisema "Unaempenda hakupendi, Anaekupenda humpendi, Sasa hicho ni nini?"

Kulingana na SHINIZER TZ, wimbo huu utapatikana kuanzia tarehe 01/08/2026 kwenye platform ya mdundo

"Nilipitia mengi kwenye mapenzi na nikaona niwape watu ukweli. Mapenzi mengine ni ushenzi tu" - amesema SHINIZER TZ.

Bado haujatoa lakini tayari clips mbali mbali zimeshaanza kusambaa YouTube.

Jiandae kusikiliza "MAPENZI USHENZI" tarehe 01/08/2026. Tag mtu aliyekuumiza kwenye mapenzi

#ShinizerTZ #MapenziUshenzi #BongoMusic #NewMusicTZ #01August

Leave your comment