Lyrics

Msanii maarufu tokea Tanzania, Aslay, ameachia kibao kingine kipya kinachojulikana kama “Shuu!” ambacho ni cha kuwasuta wanaodharau au kumdhalalisha mtu kwasababu hana chake. Shuu ni wimbo ulio na mdundo wa kuvutia wenye ladha ya muziki wa Bongo Flava. Wimbo mwenyewe una dhamira ya kuteseka na mafanikio ambao humtia moyo mskilizaji. Aslay anadhihirisha umahiriri wake wa utunzi kwa kutunga wimbo huu kwa ubunifu na ustadi na kumfanya msikilizaji kuamini kuwa baada ya siku za dhiki siku moja ataweza kufanikiwa na kuishi maisha ya kifahari. Isitoshe, Aslay anaonyesha talanta yake ya sauti ya kupendeza, katika wimbo huu na kuufanya kupendeza kwa msikilizaji hata zaidi. Kanda ya Video pia ni ya kuvutia Kwani inaendeleza maudhui hayo ya mafanikio Kwani tunamuona mwanadada mmoja ambaye maisha yake yalikuwa ya dhiki lakini anaeza kufanikiwa baadae na kuishi maisha mazuri. Kwa kweli wimbo huu ni wa kufana mno na Iwapo bado hujaweza kuuskiza ningeupendekeza kwako ili uweze kukuburudisha. Kupata chambuzi zingine za nyimbo zinazotamba barani Afrika tembelea tovuti ya www. mdundo.com
View more

More songs by Download Best Latest Song Reviews/Analysis - Mdundo Podcast

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up