• Stream Baba Levo - Amen Ft. Diamond Platnumz (Review)

    Amen Ft. Diamond Platnumz (Review)

    Baba Levo

    1:36

Lyrics

Baba Levo Amen Review

Amen ni kibao chake msanii Baba Levo kutokea Tanzania ambacho anamshirikisha msanii mwenza mashuuri Diamond Platnumz. Kwa kutumia ladha ya muziki kutoka Afrika Kusini ijulikanayo kama Amapiano, wasanii hawa wawili wanaungana kubuni kibao kimoja safi ambacho kimewavutia wengine sana barani Afrika.

Wimbo wenyewe ni kazi ya kisanaa ambao huanza kwa kuiga ombi la Baba Yetu kisha kuendelea kwa kumshukuru Mola kwa baraka zake huku wasanii hao wakiendelea kuombea baraka zaidi kwao na wapendwa wao. Diamond Platnumz analeta ladha yake ya kipekee katika wimbo huu na kuchangia kwa ufanisi wa kazi hii kwa sauti yake yakufana ambayo inachangamsha kibao hiki cha kufoka. Mdundo wa wimbo huu ni mmoja wa kusisimua ambao utafanya msikilizaji kuamka na kucheza.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up