Nyimbo Mpya: Babalevo Aachia Video Ya Wimbo 'Binadamu'

[Picha: Babalevo Instagram]

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Bure Kwenye Telegram

Mwanamziki kutoka Bongo Babalevo ameachia kazi mpya kwa jina "Bibnadamu".

Katika wimbo huu Babalevo anaangizia jinsi binadamu wengine hawana shukrani katika maisha. Mwanamziki huyu ambaye ni mtangazaji katika radio ya Wasafi ameachia mdundo huu wa amapiano ambayp ni kazi yake ya tatu ya amapiano.

https://www.youtube.com/watch?v=isE_jlrYuCQ

 

Leave your comment