NEW MUSIC (TANZANIA): Nyimbo Mpya Kutoka Kwa Wildad - Aisha

Msanii toka lebo ya The Industry inayomilikiwa na Navy Kenzo, Wildad amepata kuzindua nyimbo “Aisha" inayopatikana mitandao kadhaa ya kupakua miziki ikiwepo mdundo.com na mingineyo. Ili kuona video hii tazama ukurasa wa “The Industry TZ” YouTube. 

Katika uzinduzi msanii huyo aliweka bayana kuhusu msichana mrembo aitwaye Aisha, ni jina lililopo akilini mwake kila akiwa anaandika nyimbo. Nyimbo hii ina maadhi ya RNB pamoja na afro pop na pia wimbo huu umepikwa katika studio ya The Industry chini ya mtahayarishaji mahiri Nahreel.

Video hii imeongozwa na Bang Films, lakini dhana nzima iliandaliwa na Aika wa Navy Kenzo pamoja na timu nzima ya The Industry.

Tazama video hapa:

https://youtu.be/l4KTSxqgOlc

Leave your comment

Other news