Lyrics

Verse 1:
Mengi nimeshasikia, uliyoyatenda
Mengi hata name pia naweza shuhudia
Katika siku zangu za giza, Wewe umenituliza
Nimepenya kwenye giza, umenimulikia njia
View more
Get Mdundo android app

Leave your comment