Lyrics

Kipindi cha hivi karibuni kwenye muziki wa Bongo Fleva, kumekuwa na mjadala mzito kuhusu namna ambavyo muziki wa Amapiano umekuwa ukichukua nafasi nchini Tanzania ambapo uwepo wa ngoma kama Mama Amina, Teacher, Iyo, Mapopo na nyinginezo nyingi zimeonekana kama tishio kwa ukuaji wa Bongo Fleva.

Wakati mjadala huo ukizidi kuwa, wa, moto ndipo Barakah The Prince nae amechukua maamuzi ya kuachia Permanent Love, ngoma ambayo ni asilimia 100 Bongo Fleva na hivyo basi ngoma hii wengi wameichukulia kama moja ya hatua stahiki ya Barakah The Prince kurudisha heshima na hadhi ya Bongo Fleva nchini.

Pamoja na kuwa na Title ya kiingereza, lakini Permanet Love ni ngoma ambayo Barakah The Prince kwa sehemu kubwa ukiweka kando kiitiko ameimba kwa kiswahili ambapo ndani yake Barakah anatoa tahadhari kwamba hayuko tayari kuwa kwenye mahusiano ya kudumu na badala yake anampa chaguo mpenzi wake iwapo ataweza ""kushare"" mapenzi.
View more

More songs by Download Best Latest Song Reviews/Analysis - Mdundo Podcast

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up