TANZANIA:’ Make me sing’ , siku 10, views 1mil.. Hatari!!

 

Nyimbo ya msanii AKA akiwa ameshirikisha Diamond Platnumz ‘Make me sing’ imeonekana kufanya vizuri katika mtandao wa youtube.

Nyimbo hiyo ambayo ina siku 10 tu ndani ya mtandao wa youtube,  na inaonekana kufanya vizuri katika mtandao huo. Make me sing imetengenezwa na  producer Tuddy Thomas na kuongozwa na Nicky.

Mdundo huu aliofanya na Diamond Platinumz ‘Make me sing‘ unamfanya  AKA kuwa msanii wa kwanza  Afrika kusini kufikia rekodi hii kwa kipindi kifupi. Hizi ndio baadhi ya kolabo alizowahi kufanya AKA zenye watazamaji wengi kupitia mtandao wa youtube

AKA – All Eyes on Me ft Burna Boy, Da L.E.S. and JR: 1,391,325 views

AKA ft K.O – Run Jozi (Godly): 1,065,372 views

Emtee – Roll Up (ReUp) Ft WIZKID & AKA (Official Remix): 915,428 views

AKA – Baddest ft. Burna Boy, Khuli Chana, Yanga: 820,522 views

Anatii – The Saga (Explicit Version) ft. AKA: 430,155 views

Tazama video hiyo hapa;

Leave your comment