TANZANIA: Picha za uzinduzi wa ‘Lupela’ ya Ali Kiba
5 February 2016

Ali Kiba akiongea mbele ya wageni waalikwa
Mwanamuziki Ali Kiba amezindua video ya wimbo wake mpya wa ‘Lupela’ Alhamisi hii kwenye hoteli ya Slipway jijini Dar es salaam.
Uzinduzi huo ulihudhuriwa na mastaa wengi walioenda kumpa support. Video hiyo ilifanyika nchini Marekani na sehemu ya mradi wa Wild Aid inamuonesha Kiba akicheza dance matata na msichana mrembo wa kimarekani, aliyechukua uhusika wa Lupela.

Ali Kiba akiwa na mtangazaji wa Clouds Tv, Shadee.
Mastaa waliohudhuria uzinduzi huo ni pamoja na Jokate, Weusi, Wema Sepetu, Ommy Dimpoz, Vanessa Mdee, Jux, Lady Jay Dee, Navy Kenzo, Mr Blue, Mwana FA, Baraka Da Prince na wengineo.
Pia walikuwepo watangazaji mbalimbali kama B12, Shadee, Perfect Crispin wa Clouds FM, Dulla wa EA Radio na wengine. Pia mama na dada yake Ali Kiba walihudhuria uzinduzi huo.
Tazama picha hapa chini;




























Leave your comment