TANZANIA: Kiba atoa sababu ya iliyoyeyusha ndoto zake za kucheza mpira
28 January 2016

Msanii anayehit na kibao cha Mwana, Ali Kiba amesema muziki umefanya ameharibu malengo yake ya kucheza mpira wa kulipwa.

Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM, Kiba alisema tangu akiwa mdogo alikuwa na ndoto ya kuwa mchezaji mpira maarufu Tanzania.

“Sababu ilikuwa wimbo wangu wa Cinderela, ulikuwa umehit ikabidi niachane na mpira nikaanza kupiga hela Tanzania nzima nikazunguka.

Lakini kwenye mpira nilikuwa katika form, nikashindwa kuendelea nilikosa muda kabisa wa kucheza mpira”, alisema.

Hata hivyo muimbaji huyo ambaye amekuwa star mkubwa katika muziki wa Bongo Fleva bado anacheza mpira katika timu ya mtaani kwake kama mazoezi.

Leave your comment