EXCLUSIVE (TANZANIA) – Sijawahi tongoza maishani mwangu - Kiba
21 January 2016

Hitmaker wa Mwana, Ali Kiba amesema hajawahi kutongoza mwanamke katika maisha yake.

Kiba ambaye kwa sasa anadaiwa kutoka kimapenzi na Jokate, amesema hayo kwenye kipindi cha The Sporah Show kuwa wasichana anaotoka nao huanza kama washkaji tu.

“Haya mambo ya kutongoza sijatogozaga”, alisema. “Mimi nakwambia maisha yangu yote sijawahi kutongoza. Tunakuwa friendly hivyo vitu vinatokea halafu basi, tayari wapenzi”.

Leave your comment