EXCLUSIVE (TANZANIA) – Mama kijacho ya Tunda Man kuja na filamu fupi
18 January 2016

Mwanamuziki Tunda Man amesema ataachia filamu fupi ya Mama Kijacho licha ya kuwa pia atatoa video ya wimbo wake mpya wa ‘Mama Kijacho’.

Msanii huyo amesema filamu hiyo itakayokuwa ikieleza kisa cha Mama Kijacho itatoka baada ya video ya wimbo huo.

“Video ipo tayari ila sasa hivi tupo kwenye mpango wa kushoot short film ya Mama Kijacho”, Tunda aliiambia E News ya East Africa TV Jumapili hii.

“Ndani ya filamu utawaona akina Riyama, mimi mwenyewe pamoja na wahusika wengine wengi. Nilishawahi kufanya filamu mara moja kwenye movie ya mtu ilikuwa hainihusu sana lakini hii inanihusu mimi kama mimi. Kwajiyo watu wasubiri kazi nzuri”, alisema.

Tunda amesema ameamua kumtumia Riyama na waigizaji wengine ili kuvutia na kuleta maana halisi ya wimbo huo.

Leave your comment