Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
EXCLUSIVE (TANZANIA) – Diamond kutajwa tena kuwania tuzo nyingine za MAYA za Nigeria
8 January 2016

Msanii Diamond Platnumz amekuwa akitajwa mara nyingi kuwania tuzo mbalimbali na kusababishwa kuitwa jina la ‘Mond Bin Awards’, ametajwa kuwania tuzo za ‘MAYA’ (MOREKLUE ALL YOUTH AWRDS 2016) za nchini Nigeria, ikiwa ndo nomination yake ya kufungulia mwaka kwa mwaka huu 2016.
Ambapo Diamond anawania katika kipengele cha ‘African Music Act’ akiwa pamoja na wasanii wengine wenye majina makubwa Afrika akiwemo Wizkid, Sarkodie, Fuse ODG, Davido, AKA, Olamide na Casper Nyovest.
Tuzo hizo za MAYA zitatolewa Januari 31, 2016 jijini Lagos, Nigeria.
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00
Top stories
- Excellent Jesus
26 May
- Angel Prince Biography
27 May
- Grateful
25 May


Leave your comment