EXCLUSIVE(TANZANIA): Itazame Zawadi Ya Diamond Kwa Queen Darleen (Picha)

Kama tulivyozoea kuona mastar wengi huitumia siku ya kuzaliwa kupeana zawadi kali, sasa hii imetokea kwa staa wa kike wa Bongo Fleva, Queen Darleen ambaye leo November 4, 2015 ni siku ya kuzaliwa na kufanyiwa bonge la suprise la kwa kuzawadiwa gari aina ya 'Ractis' na kaka yake Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz.

Nakusogezea hapa picha kuanzia nje hadi ndani mtu wangu, ruksa kuendelea kuzitazama.

RELATED 

 EXCLUSIVE (TANZANIA)- Nasibu Abdul angekuwa mume wangu wa maisha –Wema Sepetu

Leave your comment