Mourinho Afutwa Kazi AS Roma

Picha [AS Roma]

Pharis kInyua

Baada ya kudumu na klabu ya AS Roma kutokea  Italia kwa muda ya miaka 2 na nusu hatimaye uongozi wa klabu hiyo umeamua kumfuta kazi Jose Mourinho mwenye miaka 60.  

 

Tukio hilo limejiri mara baada ya kichapo cha bao 3 kwa Moja kutokea kwa AC Milan na kuwafanya washike nafasi ya tisa huko Serie A kwa sasa.

Uongozi wa klabu wa klabu hiyo umetoka shukrani kwa muda na historia ambaya kocha huyo ameiacha huko Roma kwa kuandika 

Daima tutakuwa na kumbukumbu nzuri za utumishi wake Roma, lakini tunaamini kwamba mabadiliko ya mara Moja ni kwa manufaa ya klabu”

Download Christina Shusho Music For Free on Mdundo

Licha ya mreno huyo kufutwa kazi AS Roma lakini pia ikumbukwe ya kwamba Mei 2022 Mourinho aliisaidia Roma aliondoka na ubingwa wa Europa Conference League akiwa na miezi michache klabu hapo. 

 

Mbali na AS Roma lakini pia Jose alishawahi kuvifundisha vilabu vya Manchester United, Tottenham Hotspur, Real Madrid pamoja na Chelsea  

Leave your comment