Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
Nyimbo Mpya: Micky Singer Na Maua Sama “Moyo Wangu”
15 May 2023

[Picha: Instagram]
Mwandishi-Charles Maganga
DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3
Mwanamuziki nguli kutoka Tanzania, Micky Singer amerudi tena kwenye kiwanda cha muziki Tanzania na ngoma yake mpya ya kuitwa “Moyo Wangu” akiwa na Maua Sama.
Moyo Wangu ni ngoma ya tatu kutoka kwa Micky Singer kwa mwaka huu baada ya hapo awali kuachia “Jishaue” akiwa na Tommy Flavour pamoja na “Nobody” aliyoitoa mwezi mapema mwaka huu.
Pakua Mixes Ndefu Zaidi Ndani Ya Mdundo
Moyo Wangu ni wimbo mzuri mapenzi ambapo ndani yake Micky na Maua Sama wanarushiana mashahiri mazuri ambayo bila shaka yatakuburudisha. Ngoma hii imetayarishwa na mtayarishaji wa muziki kutoka Tanzania wa kuitwa Elipoano.
Huu ni ujio mpya wa Micky Singer ambaye mapema mwaka huu alitajwa kuwania Tuzo Ya Msanii Bora Kiume Chipukizi kwenye Tuzo za Tanzania Music Awards 2023.
Weekly Top 10 songs

In My Bed2:50
KAPEKE LONDON2:23
BIkola2:58
Buwooma2:44
Baddie remix feat Shannnon, aaronix, Tojo3:14
Paver2:55
Nitampeleka kwa Mama (ft. Xouh)3:44
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
CHAMPION GAL3:00
Kamwambie3:47
Top stories
- UPCOMING EP FROM EMKAY64
14 May
- Daniel Sifuna
14 May
- Generation
16 May
- NEW SONG ALERT
16 May


Leave your comment